Katibu Mkuu Wizara ya Ujenzi, Uchukuzi na Mawasiliano anayeshughulikia masuala ya Ujenzi Injinia Joseph Nyamhanga kushoto akimuonyesha Balozi wa Italia Bwana Roberto Mengoni baadhi ya barabara ambazo zimependekezwa kuombewa mkopo wa masharti nafuu kutoka serikali ya Italia.
Katibu Mkuu Wizara ya Ujenzi, Uchukuzi na Mawasiliano anayeshughulikia masuala ya Ujenzi Injinia Joseph Nyamhanga akimuonyesha Balozi wa Italia Bwana Roberto Mengoni( kulia) baadhi ya barabara ambazo zimependekezwa kuombewa mkopo wa masharti nafuu kutoka serikali ya Italia, kushoto ni Mkurugenzi wa barabara nchini Injinia Ven Ndiyamukama

No comments:
Post a Comment