Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akisalimiana na Rais Mstaafu wa Awamu ya Pili, Alhaj Ali Hassan Mwinyi baada ya kuwasili kwenye ukumbi wa Diamond Jubilee jijini Dar es salaam Juni 26, 2016 kuhitimisha Mashindano ya Kuhifadhi Qur’an Tukufu ya kimataifa kwenye ukumbi wa Diamond Jubilee jijini Dar es slaam . (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu.
Baadhi ya Waislamu waliokudhuria katika hitimisho la Mashindano ya Kuhifadhi Qur’an Tukufu ya Kimataifa wakimsikiliza Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa wakati alipohitimisha mashindano hayo kwenye ukumbi wa Diamond Jubilee jijini Dar es salaam Juni 26, 2016. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)
Sheikh Mkuu wa mkoa wa Dare es salaam Sheikh Alhadi Mussa Salim akiwa amekaa na Mkurugeni wa Tume ya Ucahguzi Bw. Ramadhan K.Kailima.
Katikati ni Mkuu wa Wilaya ya Kinondoni Mh. Ali Hapi akiwa amekaa na Kamanda wa kikosi cha usalama Barabarani nchini Kamanda Mohamed Mpinga na kulia kwake ni Mwenyekiti wa CCM mkoa wa Dar es salaam Bw. Ramadhan Madabida.
Baadhi ya Waislamu waliokudhuria katika hitimisho la Mashindano ya Kuhifadhi Qur’an Tukufu ya Kimataifa wakimsikiliza Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa wakati alipohitimisha mashindano hayo kwenye ukumbi wa Diamond Jubilee jijini Dar es salaam Juni 26, 2016. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)
Baadhi ya Waislamu waliokudhuria katika hitimisho la Mashindano ya Kuhifadhi Qur’an Tukufu ya Kimataifa wakimsikiliza Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa wakati alipohitimisha mashindano hayo kwenye ukumbi wa Diamond Jubilee jijini Dar es salaam Juni 26, 2016. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akisalimiana na Mufti wa Tanzania, Sheikh Abubakary Zubery bin Ally baada ya kuwasili kwenye ukumbi wa Diamond Jubilee jijini Dar es salaam kuhitimisha Mashindano ya Kuhifadhi Qur’an Tukufu ya Kimataifa Juni 26, 2016. Katikati ni Sheikh wa Mkoa wa Dar es salaam, Alhadi Mussa Salum. (Picha na ofisi ya Waziri Mkuu)
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akizungumza wakati alipohitimisha Mashindano ya Kuhifadhi Qur’an Tukufu ya Kimataifa kwenye ukumbi wa Diamond Jubilee jijini Dar es salaam Juni 26, 2016. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akiwa na watoto wadogo kuliko wote walioshiriki katika Mashindano ya Kuhifadhi Qur’an Tukufu ya Kimataifa kwenye ukumbi wa Diamond Jubilee jijini Dar es salaam Juni 26, 2016.Watoto hao ni Abuzar Kholidi wa Tajikistan (Kulia) na Ahmad Abdullah Al-Azhar wa wa Bangladesh. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)
No comments:
Post a Comment