Wednesday, 22 June 2016

SERIKALI YAIMARISHA UDHIBITI WA SHUGHULI ZA UCHIMBAJI NA BIASHARA YA MADINI

w1Kaimu Mtendaji Mkuu kutoka Wakala wa Ukaguzi wa Madini Tanzania (TMAA) Bw. Gilay Shamika akiwaeleza waandishi wa habari leo jijini Dar es Salaam kuhusu mafanikio yaliyopatikana kwenye wakala hiyo ikiwemo kuongezeka kwa makusanyo ya mirabaha kwenye shughuli za uzalishaji na uuzaji wa madini nchini. Kulia ni Msemaji wa Wakala hiyo Bw. Yisambi Shiwa.
w2Msemaji wa Wakala wa Ukaguzi wa Madini Tanzania (TMAA) Bw. Yisambi Shiwa akiwaeleza waandishi wa habari jijini Dar es Salaam namna walivyoimarisha udhibiti wa shughuli za uchimbaji na biashara ya madini kwa kuongeza wakaguzi migodini na vituo vya ukaguzi kwenye maeneo mbalimbali na kuhakikisha shughuli hizo zinafanyika kwa kuzingatia uhifadhi wa mazingira. Kushoto ni Kaimu Mtendaji Mkuu wa TMAA, Bw. Gilay Shamika na kulia ni Mwanasheria Bw. Gimonge Ngutunyi.

No comments:

Post a Comment