Saturday, 4 June 2016

SERIKALI:RAIS DKT.JOHN POMBE MAGUFULI AMUAPISHA NAIBU MWANASHERIA MKUU WA SERIKALI JIJINI DAR ES SALAAM



Rais wa Jamhuri ya muungano wa Tanzania akimuapisha Gerson John Mdemu kuwa naibu mwanasheria mkuu wa serikali Ikulu leo Jijini Dar es salaam,


Rais wa Jamhuri ya Muungano ya Tanzania Dkt.John Pombe Magufuli akiaagana na Naibu mwanasheria mkuu Gerson John Mdemu mara baada ya kumuapisha leo ikulu jijini Dar es salaam.


u

Rais wa Jamhuri ya Muungano ya Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akiwa katika picha ya pamoja na Naibu mwanasheria mkuu wa serikali Gerson John Mdemu wa pili kutoka kushoto ,wengine katika picha ni katibu mkuu kiongozi balozi mhandisi John KijaziMwanasheria mkuu wa serikali George Masaju na Mkurugenzi wa Mashtaka (DPP) Biswalo Mganga mara Baada ya Tukio la uapisho kukamilika.



No comments:

Post a Comment