Saturday, 4 June 2016

SERIKALI:Rais Dr. Magufuli akutana na kufanya mazungumzo na kiongonzi wa chama cha kikomonisti cha China Luo Zhijun Ikulu jijini Dar es salaam



Rais wa Jamhuri ya Muungano ya Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akizungumza na kiongonzi wa chama cha kikomonisti cha China Liu Zhjuin kutoka Jimbo la Jiangsu China,Jijini Dar es salaam

u

Rais wa Jamhuri ya Muungano ya Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akisalimiana na Balozi wa China hapa nchini Lu Youqing aliyeambatana na kiongonzi huyo wa chama cha kikomunisti cha China,Ikulu jijini Dar es salaam.


Rais wa Jamhuri ya Muungano ya Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akisaliamiana na kiongonzi wa chama cha China Luo Zhijun kutoka jimbo la Jiangsun nchini China.



Rais wa Jamhuri wa Muungano ya Tanzania akisaliamiana na Mkuu wa Mkoa wa Dar es salaam Mh. Paul Makonda,Ikulu Jijini Dar es salaam.


Rais wa Jamhuri ya Muungano ya Tanzania akiagana Kiongonzi wa Chama cha Kikomunisti cha Chini mara Baada ya kumaliza Mazungumzo leo Ikulu Jijini Dar es salaam.




Rais wa Jamhuri ya Muungano ya Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akiwa katika picha ya pamoja na ujumbe wa kiongonzi wa chama cha kikomunist cha China Luo Zhijun pamoja na Balozi wa China Hapa Nchni Luo Youqing mara Baada ya kumaliza mazungumzo yao.Wengine katika picha ni katibu mkuu kiongonzi Balozi Mhandisi John Kijazi pamoja na Mkuu wa mkoa wa Dar es salaam Mh. Paul Makonda.

No comments:

Post a Comment