Daladala inayofanya safari ya Gongo la mboto-Msasani limepata ajali maeneo ya mataa ya jet rumo, mashuhuda wanadai dereva alikuwa amemkwepa mwendesha bodaboda ambaye alikuwa amekatiza kwa mbele ghafla hivyo dereva wa daladala ilimkwepa hali iliyosababisha kugonga nguzo za transfoma zilizokuwepo kandokando ya barabara na kupinduka mara moja....ajali hii hajulikana idadi ya vifo na majeruhi kwani inasadikika dereva wa gari hilo ni miogoni mwa watu waliokufa.
No comments:
Post a Comment