Sunday, 15 May 2016

MICHEZO:Yanga akabidiwa kombe rasmi jana....................

Baada ya msimu mrefu hatimaye Dar Young Africans wamekabidhiwa mwali wao baada ya kuwa mabingwa. Mrisho Ngasa amewarushia jezi mashabiki wa Yanga baada ya mchezo kumalizika na kuvalishwa medali licha ya mvua kunyesha lakini mashabiki walibakia hadi mwisho kuona jinsi timu yao inavyokabidhiwa kombe. 
Mwisho wa mchezo timu ya Azam lishinda 2 na Yanga 1.




No comments:

Post a Comment