mbunge wa jimbo la kawe Mheshimiwa Halima Mdee kutoka umoja wa Ukawa kupititia chama cha CHADEMA
Mbunge wa jimbo la Ubungo Mheshimiwa Said Kubenea kutoka umoja wa Ukawa kupitia chama cha CHADEMA
Mbunge wa jimbo la kibamba Mheshimiwa John Mnyika kutoka umoja wa Ukawa Kupitia chama CHADEMA
Mbunge wa jimbo la kigamboni Mheshimiwa Faustine Ndugulile Kutoka chama tawala CCM
Mbunge wa jimbo la Ukonga Mheshimiwa Mwita Waitara Kutoka umoja wa Ukawa Kupitia chama cha CHADEMA
Mbunge wa Jimbo la Segerea Mheshimiwa Bonnah Kalua kutoka CCM
Mbunge wa Jimbo la Ilala Mheshimiwa Mussa Hasan Zungu kutoka CCM
Mbunge wa Jimbo la Temeke Mheshimiwa Abdallah Mtolea kutoka Umoja wa Ukawa Kupitia chama cha CUF
No comments:
Post a Comment