Saturday, 14 May 2016
BIASHARA:Vita ya wamachinga wa kariakoo na wanamgambo inaendelea..........
Mgambo wa jiji la Dar es salaam wakiwa wamemkamata mama(mmachinga) anayefanya biashara zake kariakoo pembezoni mwa barabara ambapo wiki iliyopita mkurugenzi mkuu wa halmashauri wa ilala alipiga maarufuku wafanyabiashasha wadogowadogo maarufu kwa jina la MACHINGA kutoruhusiwa kufanya biashara zao.
hapa iikuwa patashika vuta ni kuvute.......................
Hapa mama akivutana na mmoja wa afisa mgambo...........
hapa ikaendelea kurupushani................................
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
No comments:
Post a Comment