Tuesday, 17 May 2016

HABARI ZAIDI KWA PICHA:DCM yamkwepa mwendesha Bodaboda na kuvamianguzo za umeme


Gari aina ya DCM linalofanya safari zake kati Gongo la mboto  na Masaki jijini Dar es salaam likiwa limeinuliwa baada ya kupinduka leo mchana eneo Kipawa njia panda ya jet lumo,Dar es salaam:Chanzo cha ajali hiyo inasemekana ni dereva wa DCM alikuwa anamkwepa mwendesha Bodaboda na kuvamia ngunzo,watu kadhaa wanadaiwa kufariki na wengine zaidi ya 50 majeruhi kulazwa katika hospitali za amana na Muhimbili

Wananchi wakiangalia paa la gari hilo lilotolewa ili kupata urahisi wa kutoa majeruhi waliokuwemo katika gari hilo

Hii ni kitu cheusi waswhili au kwa imani za kishirikina inaitwa hirizi kilichoonekana katika gari hilo baada ya kupata ajali........

Gari ikiondolewa katika eneo la tukio...............

No comments:

Post a Comment