Huu umekuwa ujumbe wa kwanza wa Diamond Platnumz baada ya kuchaguliwa kuwania tuzo za BET 2016 nchini Marekani. BET ni kituo cha Tv kikubwa duniani.
Diamond ameshukuru mashabiki zake kwa ushirikiano wao mpaka yeye kuchaguliwa kuwania tuzo kwenye kipengele cha Best international Act Africa,haya ndio maneno yake >>>” Jus wanted to thank you for your Major Support and let you know that have been nominated for #BETAwards as the Best international Act Africa…. Ningependa niwashukuru kwa Sapoti kubwa Manayozidi kunipa na niwajuze kuwa kijana wenu nimechaguli kuwania tunzo ya Msanii Bora wa Kimataifa toka Africa kwenye tunzo BET BET #BETAwards America@BET_Africa@BET_intl
No comments:
Post a Comment