Saturday, 21 May 2016

ELIMU:NMB yasaidia madawati 50 katika Shule ya Msingi Majimatitu.

Meneja wa Benki ya NMB Kanda ya Dar es Salaam, Vicky Bishubo (kulia) akimkabidhi moja ya dawati Mwakilishi wa Afisa Elimu Manispaa ya Temeke, Salum Upunda ikiwa ni miongoni mwa msaada wa madawati 50 yaliyotolewa na Benki ya NMB Tawi la Mbagala. Meneja wa Benki ya NMB Kanda ya Dar es Salaam, Vicky Bishubo (kulia) akimkabidhi moja ya dawati Mwakilishi wa Afisa Elimu Manispaa ya Temeke, Salum Upunda (kushoto) ikiwa ni miongoni mwa msaada wa madawati 50 kwa Shule ya Msingi Majimatitu yaliyotolewa na Benki ya NMB Tawi la Mbagala.Meneja wa Benki ya NMB Tawi la Mbagala, Muhidin Zaki (kulia) akimkabidhi Mwalimu Mkuu Shule ya Msingi Majimatitu, Abdul Mgomi (kushoto) moja ya dawati kati ya madawati 50 yaliyotolewa kama msaada kwa shule ya msingi Majimatitu. Meneja wa Benki ya NMB Tawi la Mbagala, Muhidin Zaki (kulia) akimkabidhi Mwalimu Mkuu Shule ya Msingi Majimatitu, Abdul Mgomi (kushoto) moja ya dawati kati ya madawati 50 yaliyotolewa kama msaada kwa shule ya msingi Majimatitu.Mwenyekiti wa Mtaa wa Majimatitu 'A', Saidi Haji Mpetta (kulia) akimkabidhi Mkuu Shule ya Msingi Majimatitu, Abdul Mgomi (kushoto) dawati moja kati ya madawati 50 yaliyotolewa na Benki ya NMB Tawi la Mbagala juzi. Mwenyekiti wa Mtaa wa Majimatitu 'A', Saidi Haji Mpetta (kulia) akimkabidhi Mkuu Shule ya Msingi Majimatitu, Abdul Mgomi (kushoto) dawati moja kati ya madawati 50 yaliyotolewa na Benki ya NMB Tawi la Mbagala juzi.Baadhi ya wanafunzi wa Shule ya Msingi Majimatitu, Mbagala wakibeba madawati waliyopewa na Benki ya NMB Tawi la Mbagala. Baadhi ya wanafunzi wa Shule ya Msingi Majimatitu, Mbagala wakibeba madawati waliyopewa na Benki ya NMB Tawi la Mbagala.Baadhi ya wanafunzi wa Shule ya Msingi Majimatitu, Mbagala wakibeba madawati waliyopewa na Benki ya NMB Tawi la Mbagala. Baadhi ya wanafunzi wa Shule ya Msingi Majimatitu, Mbagala wakibeba madawati waliyopewa na Benki ya NMB Tawi la Mbagala.Kikundi cha kwaya cha Shule ya Msingi Majimatitu kikiwaburudisha wageni waalikwa katika hafla hiyo ya kukabidhiwa madawati 50 ya msaada kwa shule hiyo. Kikundi cha kwaya cha Shule ya Msingi Majimatitu kikiwaburudisha wageni waalikwa katika hafla hiyo ya kukabidhiwa madawati 50 ya msaada kwa shule hiyo.Wanafunzi wa Shule ya Msingi Majimatitu wakisoma risala kwa mgeni rasmi katika hafla hiyo. Wanafunzi wa Shule ya Msingi Majimatitu wakisoma risala kwa mgeni rasmi katika hafla hiyo.Mmoja wa wanafunzi wa Shule ya Msingi Majimatitu akikabidhi risala kwa mgeni rasmi katika hafla hiyo. Mmoja wa wanafunzi wa Shule ya Msingi Majimatitu akikabidhi risala kwa mgeni rasmi katika hafla hiyo.Mwalimu Mkuu Shule ya Msingi Majimatitu, Abdul Mgomi (aliyeshika kipaza sauti) akizungumza katika hafla hiyo ya kukabidhiwa madawati 50 ya msaada kwa shule yake. Mwalimu Mkuu Shule ya Msingi Majimatitu, Abdul Mgomi (aliyeshika kipaza sauti) akizungumza katika hafla hiyo ya kukabidhiwa madawati 50 ya msaada kwa shule yake.Meneja wa Benki ya NMB Kanda ya Dar es Salaam, Vicky Bishubo (aliyeshika kipaza sauti) akizungumza katika hafla hiyo kabla ya kukabidhi msaada wa madawati 50 yaliyotolewa na Benki ya NMB Tawi la Mbagala. Meneja wa Benki ya NMB Kanda ya Dar es Salaam, Vicky Bishubo (aliyeshika kipaza sauti) akizungumza katika hafla hiyo kabla ya kukabidhi msaada wa madawati 50 yaliyotolewa na Benki ya NMB Tawi la Mbagala. Meneja wa Benki ya NMB Kanda ya Dar es Salaam, Vicky Bishubo (aliyeshika kipaza sauti) akizungumza katika hafla hiyo kabla ya kukabidhi msaada wa madawati 50 yaliyotolewa na Benki ya NMB Tawi la Mbagala. Meneja wa Benki ya NMB Kanda ya Dar es Salaam, Vicky Bishubo (aliyeshika kipaza sauti) akizungumza katika hafla hiyo kabla ya kukabidhi msaada wa madawati 50 yaliyotolewa na Benki ya NMB Tawi la Mbagala.Mwenyekiti wa Mtaa wa Majimatitu 'A', Saidi Haji Mpetta (kulia) akitoa salamu za shukrani mara baada ya Shule ya Msingi Majimatitu, kukabidhiwa madawati 50 yaliyotolewa na Benki ya NMB Tawi la Mbagala juzi. Mwenyekiti wa Mtaa wa Majimatitu 'A', Saidi Haji Mpetta (kulia) akitoa salamu za shukrani mara baada ya Shule ya Msingi Majimatitu, kukabidhiwa madawati 50 yaliyotolewa na Benki ya NMB Tawi la Mbagala juzi.Mwenyekiti wa Mtaa wa Majimatitu 'A', Saidi Haji Mpetta (kulia) akitoa salamu za shukrani mara baada ya Shule ya Msingi Majimatitu, kukabidhiwa madawati 50 yaliyotolewa na Benki ya NMB Tawi la Mbagala juzi. Mwenyekiti wa Mtaa wa Majimatitu 'A', Saidi Haji Mpetta (kulia) akitoa salamu za shukrani mara baada ya Shule ya Msingi Majimatitu, kukabidhiwa madawati 50 yaliyotolewa na Benki ya NMB Tawi la Mbagala juzi.NMB kulia ikimkabidhi moja ya madawati Mwenyekiti Kamati ya Shule.
Meneja wa Benki ya NMB Kanda ya Dar es Salaam, Vicky Bishubo (kulia) akimkabidhi dawati Mwenyekiti wa Kamati ya Shule, Shule ya Msingi Majimatitu, Jacob Macha (kushoto) katika hafla hiyo.
Picha ya pamoja wageni rasmi na bendi ya shule2
Kikundi cha kwaya cha Shule ya Msingi Majimatitu na bendi ya shule katika picha ya pamoja na wageni rasmi katika hafla hiyo ya kukabidhiwa madawati 50 ya msaada kwa shule hiyo.
Shule ikikabidhiwa mipira
Meneja wa Benki ya NMB Tawi la Mbagala, Muhidin Zaki (kushoto) akimkabidhi mmoja wa viongozi wa wanafunzi wa Shule ya Msingi Majimatitu, kwa ajili ya shule yao. Katika hafla hiyo Benki ya NMB ilitoa pia madawati 50 kama msaada kwa shule ya msingi Majimatitu.
Shule ikikabidhiwa mipira1Meneja wa Benki ya NMB Kanda ya Dar es Salaam, Vicky Bishubo (kushoto) akimkabidhi mpira mmoja wa viongozi wa wanafunzi wa Shule ya Msingi Majimatitu, kwa ajili ya shule yao. Katika hafla hiyo Benki ya NMB ilitoa pia madawati 50 kama msaada kwa shule ya msingi Majimatitu.

No comments:

Post a Comment