Thursday, 19 May 2016
ANGA:Ndege ya shirika ya misri(EGYPT AIR) yapotea ikiwa na abiria 69 ilikuwa inatoka Paris Ufaransa
Ndege ya shirika la misri(EGYPT AIR)iliyokuwa ikitoka mji mkuu wa Ufaransa Paris hadi Cairo imepotea kutokamitambo ya rada,Maafisa wanaosimamia safari za ndege hiyo aina ya airbus A320 wanasema ilikuwa na abiria 59 na wahuduma 10 jumla watu 69.Shirika hilo limesema kuwa ndege hiyo ilitoweka katika maeneo ya mashariki ya bahari ya mediteerrane kilomita 16 kabla ya kufika katika anga ya misri,Misri imetuma ndege za kivita kusaka ndege hiyo kwa ushirikiano wa utawala wa ugiriki
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
No comments:
Post a Comment