Shule ya wasichana ya ilala islamic iliyopo kwenye Msikiti wa Taqwa Ilala Bungoni jijini Dar es salaam,inateketea kwa moto usiku wa jana
Chanzo cha moto huo hakijiweza fahamika mara moja na jitihada za kuuzima moto huo ziliendelea na kufanikiwa kuuzima.
No comments:
Post a Comment