Thursday, 19 May 2016

MICHEZO:Yanga yatinga hatua ya makundi kombe la shirikisho afrika.............


Klabu ya Yanga jana ilifungwa bao 1-0 na wenyeji Sagrada esperanca katika mchezo wa marudio wa mchujo wa kuwania kufunzu kuingia hatua ya makundi ya kombe la shirikisho  la soka Afrika katika uwanjja wa esperanca mjini Dundo,Angola lakini Yanga wamefunzu hatua hiyo kwa ushindi wa jumla 2-1 baada ya awali kushinda 2-0 Dar es salaam mabao yakifungwa na Simon Msuva na Matheo Anthony.Yanga inatinga hatua ya makundi ya kombe la shirikisho michuano ya CAF kwa mara ya pili tangu walipofanikiwa kufanya hivyo kwa mara ya kwanza mwaka 1998,Yanga wanatarajia kurejea Dar es salaam kesho mchana wakitokea Angola. 

No comments:

Post a Comment