TANZIA:Aliyekuwa Mkurugenzi wa Jiji la Dar, Willson Kabwe afariki dunia
Aliyekuwa Mkurugenzi wa Jiji la Dar, Willson Kabwe afariki dunia
Inadaiwa amefariki dunia akiwa nchini India alikokuwa kwa matibabu.Aidha, inasemekana tangu siku ile wamtumbue jipu ktk Daraja la Kigamboni (Nyerere Bridge) alikuwa shocked sana alikuwa kalazwa India akipatiwa matibabu.
No comments:
Post a Comment