Muonekano wa banda la kampuni ya PRIDE Tanzania katika maonesho ya biashara ya kimataifa ya 40 yanayoendelea jijini Dar es Salaam.
Waziri wa Viwanda na Biashara, Mhe Charles Mwijage (kushoto), akizungumza na wajasiriamali wa PRIDE Tanzania wakati maonesho ya biashara ya kimataifa ya 40 yanayoendelea jijini Dar es Salaam (kulia) alievaa tisheti nyeupe ni Afisa Undeshaji Mwandamizi PRIDE Tanzania, Jumanne Bundala.
Kushoto Mwenyekiti wa Bodi ya PRIDE Tanzani, Profesa Wiliam lyakurwa, na kulia Meneja Mkuu PRIDE, Shimimana Ntayabaliwe wakimsililiza mjasiriamali mbunifu wa mavazi kutoka Zakwetu Afrika, Bi Asha Sendege wakati wa maonesho ya biashara ya kimataifa ya 40 yanayoendelea jijini Dar es Salaam
Mke wa Rais Mstaafu wa Awamu ya Nne Mama Salma Kikwete akitembelea banda la PRIDE Tanzania kujionea wajisiriamali wa PRIDE wakati wa maonesho ya biashara ya kimataifa ya 40 yanayoendelea jijini Dar es Salaam.
Mke wa Rais Mstaafu wa Awamu ya Nne Mama Salma Kikwete akiangalia moja ya bidha kwa matumizi ya nyumbani zinazotengenezwa na wajasiriamali wa PRIDE.
Mke wa Rais Mstaafu wa Awamu ya Nne Mama Salma Kikwete akiangalia batiki zinazotengenezwa na wajasiriamali.
Mke wa Rais Mstaafu wa Awamu ya Nne Mama Salma Kikwete akiangana na wafanyaka wa PRIDE mara baada ya kutembelea banda hilo.
No comments:
Post a Comment