Thursday, 14 July 2016

NEW MBEYA CITY:AKUTWA AMEFARIKI NYUMBANI KWAKE JIJINI MBEYA.....

Mwili wa Mkazi wa Jiji la Mbeya aliefahamika kwa Majina "Koleta Kasoso" kabila "Mnyamwanga" aliekuwa akiishi katika Mji wake katika Kata ya Manga 'A' Jijini Mbeya Mkoa wa Mbeya, Amekutwa akiwa amefariki Dunia  Asubuhi ya leo, chanzo cha Kifochake bado hakijafahamika bali alikutwa akiwa amedondoka chini karibu na Mlango wa Sebule yake.
Baadhi ya Majirani, Ndugu, Jamaa na Marafiki wakiwa katika Simanzi na Huzuni.
Jeshi la Polisi lilifika pia katika Eneo la tukio na kuuchukuwa Mwili wa Marehemu kuajili ya upelelezi zadi.
Mwili wa Marehemu Ukipelekwa Mochwari.
PICHA ZOTE NA MR.PENGO MMG.
 

No comments:

Post a Comment