Tuesday, 5 July 2016

MICHEZO:MUSA SAID ASHIRIKI VYEMA KAMBI YA KIMATAIFA YA COPA COCA- COLA, UFARANSA

Nyota wa soka aliyefanya vizuri michezo ya Shule za Sekondari (UMISETTA) Mussa Bakari akifurahia na wenzake alioungana nao katika kambi ya Kimataifa ya Copa Coca-Cola iliyopo jijini Paris nchini Ufaransa.
Musa Bakari akiwa katika nyuso ya furaha ndani ya kambi ya Kimataifa ya Copa Coca-Cola iliyopo jijini Paris nchini Ufaransa.
Bakari, mwenye miaka 16, ni mwanafunzi wa kidato cha tatu katika Shule ya Sekondari Tirav iliyoko wilayani Temeke, ambaye amepata nafasi hiyo kwa udhamini wa Kampuni ya Coca-Cola.
 
Kambi ya Kimataifa ya Copa Coca-Cola imefanyika kuanzia 29 June hadi Jumatatu 4 Julai 2016.

No comments:

Post a Comment