Tuesday, 5 July 2016

ELIMU:MTOTO CLARA MWANAFUNZI ASIYEONA AKIWA DARASANI AKITUMIA MASHINE MAALUMU YA KUANDIKIA NA KUSOMA

indexMtoto Clara Damian  mwanafunzi wa darasa la saba asiyeona akiwa darasani akitumia mashine maalumu ya kuandikia na kusoma katika shule ya msingi patandi iliyopo wilaya ya arumeru mkoani arusha shule hiyo inakabiliwa na upungufu wa walimu na vitabu.
Picha na mahmoud ahmad arusha

No comments:

Post a Comment