Thursday, 7 July 2016

Mtanzania Seleman Kitenge atunukiwa tuzo na Crans Montana Forum Vienna (Austria), apokelewa kwa shangwe JKN International Airport

Seleman Kitenge katika picha kabla ya kupewa tuzo.
Seleman Kitenge akipokea tuzo kwa furaha na tabasamu kubwa.
Seleman Kitenge akipiga picha ya pamoja na baadhi ya washindi mbalimbali.
Baada ya kuliwakilisha Taifa vizuri, kijana Seleman Kitenge aliweza kufanya mahojiano mbalimbali.
Vijana na wanafunzi wa Mozambique-Tanzania Centre for Foreign Relations walikuwepo kwa wingi kumpokea shujaa Seleman Kitenge.
Seleman Kitenge akiwaonesha tuzo yake aliyopewa na Crans Montana Forum baada ya kufika tu JKN Airport leo 07/07/2016.
Tuzo maridadi kabisa aliyopewa Mtanzania Seleman Kitenge ambaye ni hazina kubwa ya baadae ya Taifa na ni vyema kwa Serikali ikiweza kutunza vijana kama Seleman Kitenge kwa hadhina na atimae kuwa viongozi wa baadae wa Tanzania.

No comments:

Post a Comment