Picha hii ikimuonyesha Mbunge wa Mbeya mjini, Joseph Mbili maarufu kama Sugu akinyanyua kidole cha kati juu alipokuwa akitoka bungeni wakati wa vikao vya Bunge mjini Dodoma mwezi Juni.
Image result for Picha ya mbunge joseph mbilinyi akionyesha dole la kati
Kufuatia kitendo hicho Joseph Mbilinyi alisimamishwa kuhudhuria na vikao 10 vya Bunge kuanzi Juni 30.
Joseph Mbilinyi alitenda kosa hilo alipokuwa akitoka nje ya ukumbi wa Bunge baada ya kile alichoeleza kuwa kuna mbunge wa CCM aliyemtusi mama yake. Hata hivyo alipohojiwa kama anamfahamu mbunge huyo, Mbilinyi alisema kuwa hamfahamu