Sunday, 10 July 2016

RAIS DKT. MAGUFULI AMPOKEA WAZIRI MKUU WA INDIA IKULU JIJINI DAR ES SALAAM

1.Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akimpokea Waziri Mkuu wa India Narendra Modi katika viwanja vya Ikulu jijini Dar es Salaam.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akiwa amesimama na mgeni wake Waziri Mkuu wa India Narendra Modi wakati wa nyimbo za Taifa zikipigwa kabla ya ukaguzi wa gwaride la heshima katika viwanja vya Ikulu jijini Dar es Salaam.
Waziri Mkuu wa India Narendra Modi akikagua gwaride la Heshima katika viwanja vya ikulu jijini Dar es Salaam.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akimtambulisha Makamu wa Rais Samia Suluhu Hassan kwa Waziri Mkuu wa India Narendra Modi Ikulu jijini Dar es Salaam.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akiwa na mgeni wake Waziri Mkuu wa India Narendra Modi wakati wakiwasili kwenye lango kuu la Ikulu jijini Dar es Salaam.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akipiga ngoma pamoja na mgeni wake Waziri Mkuu wa India Narendra Modi Ikulu jijini Dar es Salaam.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akiongoza mazungumzo ya pamoja na Waziri Mkuu wa India Narendra Modi pamoja na ujumbe wake Ikulu jijini Dar es Salaam.
Waziri Mkuu wa India Narendra Modi akizungumza na wanahabari Ikulu jijini Dar es Salaam.

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akizungumza na wanahabari Ikulu jijini Dar es Salaam.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akiagana na Waziri Mkuu wa India Narendra Modi mara baada ya kumaliza kuzungumza na Wanahabari kutoka ndani nje ya Tanzania Ikulu jijini Dar es Salaam.PICHA NA IKULU

No comments:

Post a Comment