Balozi wa Canada Nchini Tanzania, Alexandre Lévêque akisaini kitabu cha wageni kwenye Ofisi ya Waziri wa Nishati na Madini Profesa Sospeter Muhongo. Balozi huyo alimtembelea Profesa Muhongo kwa ajili ya kumuaga mara baada ya muda wake kumalizika hapa nchini.
Waziri wa Nishati na Madini Profesa Sospeter Muhongo (kulia) akimweleza Balozi wa Canada Nchini Tanzania, Alexandre Lévêque (kushoto) mikakati ya Serikali katika uboreshaji wa sekta ya nishati nchini
Naibu Katibu Mkuu wa Nishati na Madini anayeshughulikia Madini Prof. James Mdoe (kushoto) na Naibu Katibu Mkuu wa Nishati na Madini anayeshughulikia Nishati Dk. Juliana Pallangyo (kulia) wakifuatilia mazungumzo kati ya Waziri wa Nishati na Madini Profesa Sospeter Muhongo na Balozi wa Canada Nchini Tanzania, Alexandre Lévêque (hawapo pichani)
No comments:
Post a Comment