Waziri Mkuu, Kassim Majliwa na Mkewe Mary wakimtazama Lorand Leonard Kambangu akiendesha baiskeli ya magurudumu matatu aliyopewa na Mke wa Waziri Mkuu katika mkutano wa hadhara uliohutubiwa na Waziri Mkuu kwenye kijiji cha Nanganga wilayani Luangwa Julai 14, 2016. Kushoto ni Mkuu wa mkoa wa Lindi, Godfrey Zambi. i
No comments:
Post a Comment