Saturday, 9 July 2016

MIKOANI:VIONGOZI WATATU WA BAVICHA WANASHIKILIWA NA JESHI LA POLISI DODOMA

5

Viongozi wa Baraza la Vijana la Chama cha Demokrasia na Maendeleo (BAVICHA) wamekamatwa mkoani Dodoma kwa tuhuma za kuvaa fulana zenye ujumbe wa uchochezi.
Waananchi wanaodhaniwa kuwa wanachama wa CHADEMA huonekana wakiwa wamevaa fulana zenye maandishi “Tuupinge na tuukatae Udikteta uchwara” hivyo haikuweza kufahamika mara moja kama viongozi hao na walikuwa wamevalia fulana hizo ama la.
Viongozi wanaodaiwa kukamatwa ni Mwita Katibu Mkuu BAVICHA, Patrobas Mkiti BAVICHA Taifa na George Tito.

No comments:

Post a Comment