Thursday, 7 July 2016

UINGEREZA:Uingereza kupata waziri mkuu mwanamke

May

Uingereza itakuwa na waziri mkuu mwanamke,ambaye atachukua majukumu kufikia mwenzi oktoba,Hi ni baada ya wabunge wa chama tawala cha conservative kuwateua wagombea wawili (2)
waliokuwa wanaongoza kukabiliana kuamua nani atakuwa nani atakuwa kiongonzi mpya.Waziri wa mambo ya ndani Theresa May ndiye anayepigiwa upatu sana kumrithi David Cameroon  akipambana na waziri wa Kawi Andrea Leadsom ndiye mwanamke mwingine anayeleta upinzani mkali,mwingine alikuwa ni waziri wa haki Michael Gove aliyekuwa mmoja wa waliopiga debe Uingereza kujitoa Muungano wa umoja wa ulaya alimaliza kuwa nafasi ya tatu kenye kura akaondolewa.
Gove
Michael Gove Waziri wa Haki
Matokeo kamili yanatarajiwa kuwa mwenzi september,Kinyang'anyiro cha sasa cha kuchagua kiongonzi mpya kulianza baada ya Bwana Cameroon kuamua Kung'atuka.Hii ni baada ya upande wake,uliotaka Uingereza Israel EU,Kushindwa kwenye kura maoni mwenzi uliopita.

No comments:

Post a Comment