Monday, 4 July 2016

JAJI MKUU ATEMBELEA BANDA LA TUME YA KUREKEBISHA SHERIA

jai1Jaji Mkuu Mhe. Mohamed Chande Othman akiangalia baadhi ya
Ripoti zilizofanyiwa kati na Tume ya Kurekebisha Sheria Tanzania
alipotembelea Banda la Tume wakati wa Maonesho ya Kimataifa ya
Biashara (SABASABA) katika viwanja vya JK Nyerere Dar es Salaam.
jai2Jaji Mkuu Mhe. Mohamed Chande Othman akipata maelezo katika
Banda la Mahakama ya Rufaa Tanzania
jai3Jaji Mkuu Chande Othman akizungumza na Waandishi wa Habari mara
baada ya kumaliza kutembelea Banda la Mahakama katika viwanja vya Mwl.
JK Nyerere Dar es Salaam.
jai4Jaji Mkuu Mhe. Mohamed Chande Othman akiwa katika viwanja vya JK
Nyerere Dar es Salaam wakati wa Maonesho ya Biashara ya Kimataifa
(SABASABA) Picha zote na Munir Shemweta Tume ya Kurekebisha Sheria)

No comments:

Post a Comment