Friday, 8 July 2016

MAHAKAMANI:Tatizo la Ndoa za utotoni Tanzania kukoma



Mahakama Kuu ya Tanzania leo imeadhinisha umri wa halisi wa kuolewa kwa mtoto wa kike ni miaka 18,Hali ya kawaida ilifika mtoto wa kike wa kitanzania alikuwa anaolewa akiwa na umri wa miaka wa miaka 14 kwa ridhaa ya wazazi wao mahakama kuu imetoa muda wa mwaka mmoja kuhakikiksha sheria ya mwaka 1971 kifungu cha 13 kinachoruhusu mtoto wa kike kuozwa akiwa na umri wa 14,Wasichana wanaolewa katika umri huu mara nyingi wanakabiliwa na unyanyasaji wa majumbani sambamba na kutengwa na jamii huku wakipewa nafasi ndogo kwa ajili ya Elimu na ajira,Huu ni ushindi mkubwa kwa wanaharakati wa Tanzania katika kupigania haki za watoto na sasa itakuwa rahisi kuwaokoa wasichana wanaoathirika na utamaduni wa kuonzeshwa wakiwa wadogo,Uamuzi umekuja wakati bunge la Jamhuri ya Muungano ya Tanzania kupitisha sheria kifungo cha Miaka 30 ama faini ya milioni tano kwa mwanaume.

No comments:

Post a Comment