Mapigano makali yameripotiwa kutokea katika mji mkuu wa Sudan kusini Juba,mapigano hayo yameripotiwa katikd kutokea katika maeneo tofouti tofauti ya Juba lakini hajabainika ni nani anayetekeleza kufanya mashambulio hayo.
Tayari Rais wa Sudani Kusin Salva Kiir ameagiza raia wa Sudani wa Kusini kuwa watulivu huku ufyutuliaji wa risasi ukiwa unaendelea katika mji huo.
Siku ya Alhamisi wanajeshi watano waliuawa na wapiganaji walio watiifu kwa makamu wa Rais Riek Machar.
No comments:
Post a Comment