Rais wa Rwanda, Paul Kagame (wa pili kulia) akimkabidhi tuzo ya Mshindi wa Kwanza Sekta ya Mawasiliano na Tehama (ICT) Mwenyekiti wa Bodi ya Kampuni ya Simu Tanzania (TTCL), Prof. Tolly Mbwette (kushoto) kwenye maonesho ya 40 ya Kimataifa ya Biashara viwanja vya Mwalimu Nyerere sabasaba jijini Dar es Salaam. Kulia ni Rais wa Tanzania, Dk. John Pombe Magufuli na Waziri wa Viwanda na Biashara, Charles Mwijage (wa pili kushoto)
Ofisa Mtendaji Mkuu wa TTCL, Dk Kamugisha Kazaura (kulia) akipata maelezo kutoka kwa baadhi ya wafanyakazi wa TTCL wanaoshiriki kwenye maonesho ya 40 ya Kimataifa ya Biashara viwanja vya Mwalimu Nyerere sabasaba jijini Dar es Salaam.
Kulia ni baadhi ya wateja na wageni anuai wanaotembelea banda la kampuni ya Simu Tanzania (TTCL) katika Maonesho ya 40 ya Kimataifa ya Biashara viwanja vya Mwalimu Nyerere sabasaba jijini Dar es Salaam.

Baadhi ya wafanyakazi wa Kampuni ya TTCL wakipiga picha na kufurahia tuzo mbili walizozitwaa katika kwenye maonesho ya 40 ya Kimataifa ya Biashara viwanja vya Mwalimu Nyerere sabasaba jijini Dar es Salaam.
Baadhi ya wafanyakazi wa Kampuni ya TTCL wakipiga picha na kufurahia tuzo mbili walizozitwaa katika kwenye maonesho ya 40 ya Kimataifa ya Biashara viwanja vya Mwalimu Nyerere sabasaba jijini Dar es Salaam. Pamoja na Mwenyekiti wa Bodi ya TTCL, Prof. Tolly Mbwette (kulia).
Baadhi ya wafanyakazi wa Kampuni ya TTCL wakipiga picha na kufurahia tuzo mbili walizozitwaa katika kwenye maonesho ya 40 ya Kimataifa ya Biashara viwanja vya Mwalimu Nyerere sabasaba jijini Dar es Salaam.
No comments:
Post a Comment