Monday, 4 July 2016

KUKANUSHA HABARI ILIYOTOLEWA JANA YENYE KICHWA CHA HABARI:MBUNGE WA KIBAMBA JOHN MNYIKA ATOA LA MOYONI BAADA YA KIMYA KIREFU

Ndugu mwanablog ya Newdaressalaamu tunaomba radhi kwa uchapishaji wa habari isiyokuwa rasmi a kamili kwa umma kwani zilikuwa zimetengenezwa na watu wanaosadikika kukitakia mabaya na kukichafua chama cha CHADEMA pamoja na UKAWA hivyo tunaomba radhi kwa habari potofu....
Ahsante

No comments:

Post a Comment